Kituo cha watoto yatima Mbozi

Kituo cha watoto yatima Mbozi kilianzishwa mwaka 1949 na kinahusiana na Hospitali ya Misheni ya Mbozi chini ya Kanisa la Moravian Tanzania jimbo la Kusini-Magharibi. Kituo kinahudumia hadi yatima 20, kuanzia umri wa miaka 0 hadi 12. Kwa sasa, karibu watoto 12 wanahudumiwa kituoni hapo na wafanyakazi watatu.

Kiswahili