Mipango ya Uchumi na Maendeleo
Idara ya Mipango ya Uchumi na Maendeleo, inaandaa na kusimamia miradi mingi katika jimbo. Lengo ni kupambana dhidi ya uharibifu wa mazingira, kuongeza mapato ya jimbo na kupunguza umasikini wa waumini wa Kikristo wa Moravian.
Shughuli
nyingine ya Idara ni kuandaa semina juu ya maendeleo ya kiuchumi kwa idara
mbali mbali na kukuza uwezo wa kujijenga ndani ya kanisa.
Mtazamo
Kuinua mapato ya jimbo na kupunguza umasikini kati ya jimbo na waumini wake.
Lengo
Kuchangia uboreshaji wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya jimbo.
Mawasiliano
Kanisa
la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini Magharibi
Mipango ya Uchumi na Maendeleo
Mbeya
Tanzania
Simu: +255 754 449257 / +255 784 407480
Barua Pepe: philimonchibona@yahoo.com