Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Ilindi

Chuo cha Ufundi Ilindi kilianzishwa mwaka 2014 na hivi sasa kinatoa elimu kwa wanafunzi zaidi ya 20. Tunatoa kozi ya ushonaji na ubunifu wa nguo / mavazi kwa miaka miwili kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kozi.

Faida maalum ya kujifunza katika shule yetu ni kwamba wanafunzi wetu wote hupokea mashine zao za kushonea na vifaa vingine muhimu wakati wa mahafali. Hii inawawezesha kuanzisha biashara zao wenyewe na kujitegemea kiuchumi, mara tu wanapomaliza kozi yao!

Mawasiliano

Fatuma Mwaigaga
Simu: +255 767 873 640

Kiswahili