Wilaya

Jimbo la Kusini-Magharibi lina wilaya tatu zifuatazo:


               Wilaya ya Chunya                        

                        

Mwenyekiti: Mch: Anyandwile Ka                        Wilaya ya Mbeya

Mwenyekiti: Mch. Leonard Kamwela
Katibu: Mch. Erica Samwanijembe

Idadi ya mitaa: 9
Idadi ya shirika: 53


Wilaya ya Mbalizi

Mwenyekiti: Mch. Robert Pangani
Katibu: Mch. Eliabu Mpembela

Idadi ya mitaa: 9
Idadi ya shirika: 45


Mwenyekiti wilaya ni mwakilishi wa jimbo katika ngazi ya wilaya kwa mambo yote yahusuyo serikali, makanisa mengine na shirika.

Kiswahili