Kamati Tendaji

Kamati ya utendaji ina watu watatu, Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu.

Wanachama wa sasa wa kamati ya utendaji ni:


Mch. Zacharia Sichone – Mwenyekiti

Mwenyekiti wa bodi jimbo ni Mtendaji Mkuu wa kanda.
Mch. Willey Peter Mwasile – Makamu Mwenyekiti 

Makamu Mwenyekiti hukaimu nafasi ya Mwenyekiti asipokuwepo.
Mch. Stephano Mbalwa – Katibu Mkuu

The

Katibu Mkuu anawajibika kuweka, kutunza na kutekeleza maazimio ya Sinodi, bodi ya jimbo na kamati ya utendaji.


Kiswahili